Tuesday, August 9, 2011

Just a thought..

There's so much struggle to handle domestic violence against women, the figures are sad and we've even heard of women dying in their homes...but could the figures be the same for the other sex too?
Maybe we do need men empowerment groups and thousands NGOs as many as there are for women in Tanzania....what's worse is,Men rarely or even never admit to being physically abused, hence domestic abuse and violence against men goes untold....
  Read the story below... happened recently in Tanzania,

MKAZI mmoja katika Mtaa wa NHC katika Mji wa Mugumu wilaya ya Serengeti wilayani Mara, Samson Kitoshi (32) amejinyonga hadi kufariki dunia kwa kamba chumbani kwake kwa kile alichodai kuwa: “Amechoka kupigwa na mkewe kila wakati.”
Kuhusu migogoro ya ndani, mtoto huyo alisema kumekuwa na ugomvi wa mara kwa mara hasa ukisababishwa na mama yao ambaye anauza pombe ya kienyeji ya wanzuki anaporudi akiwa amelewa kwani humfanyia vurugu baba yao.
"Hivi karibuni baba alifikia hatua ya kumtaka mama aondoke amechoka na mateso anayomfanyia, lakini mama alikataa kuwa hawezi kutoka na kudai yeye ndiye atakayetoka," alisema.Ndugu wa Kitoshi... alisema kuwa marehemu aliyekuwa akifanya kazi ya kusaga nafaka alikuwa akilalamika kupigwa na mkewe mara kwa mara .Tukio hilo lililovuta umati mkubwa wa watu, linadaiwa kutokea jana saa tano asubuhi. Akisimulia mkasa huo, mtoto wa marehemu (Jina tunalihifadhi) alisema kabla ya kutokea kwa tukio hilo, mama yao alimpa Sh 1,000 akanunue sukari na vitafunio, lakini asimpe baba yao chai... "Mama aliaga kuwa anakwenda Hospitali DDH kwa kuwa anaumwa. Baba akasema hatakunywa chai hiyo na kutuambia kuwa hatutamwona tena anatuaga na tusiingie ndani." [Source]

No comments:

Post a Comment