Wednesday, December 8, 2010

Tanzania Sock Puppet Newscast

Okay, najua nilisema nitaandika kila kitu kwa kiswahili leo lakini maneno mengine nimetafuta weeeee wapi... Sasa Sock puppets ndo nini?..imenibidi tu niiandike kwa Kingledha
Hawa Sock puppets wawili wanaongelea Historia ya Tanzania...

No comments:

Post a Comment