Monday, March 14, 2011

Lolliondo..Kwa Babu

Tiba inayoendelea kutolewa dhidi ya Magonjwa Sugu na Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile katika kijiji cha Samunge wilayani Loliondo kilomita 450 kutoka Arusha mjini, kaskazini mwa Tanzania, imewavutia maelfu ya watu wanaosumbuliwa na Magonjwa hayo.Tiba hiyo inayotokana na mti shamba, inasemekana kutibu magonjwa ya Ukimwi, Saratani, Kisukari, Shinikizo la Moyo na mengine mengi...
from ITV Reports...
The Real Deal? Lolliondo?



And you Know Ze Komedi wouldnt Leave this hangin!...


No comments:

Post a Comment