Thursday, March 17, 2011

Whats the Fuss about... Lolliondo?

Okay this was really funny and Very true, Yaani kila Mtu Lolliondo lolliondo lolliondo... kazi zingine zinawekwa on hold.. serikali inafurahia the pressure of Dowans inakuwa released.. lakini... utafiti umefanywa kuhusu hiyo dawa? Waliopona wakwapi?...Nilifikiri baada ya hii dawa kuvuma itafanyiwa utafiti...

Anyway, just my 2 cents.. #VivaTanzania

No comments:

Post a Comment