Tuesday, March 8, 2011

New BLog!

The beauty of Mbeya the southern highlands...
Ni tovuti ambayo imetengenezwa mahususi kwa lengo la kuendeleza harakati za habari burudani michezo na matukio yote ambayo yatakua yanatokea Mkoani Mbeya

Tunapenda kulitambulisha wadau wote  libeneke jipya la Mbeya Yetu ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari  mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com . karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.

No comments:

Post a Comment