Wednesday, December 8, 2010

A Picture can say a thousand words

Kimmy K, ni nini hajafanya? Kama ni Kuchakarika yani ndo mwenyewe, angekuwa Mmbongo ningemwita Mchagga ..ni Mtaftaji! Na sasa amekuja na Designs zake za saa ,hapa anaelekea kwenye uvumbuzi wa hizo saa zake (ambazo kazi-design mwenyewe) huko Hollwood...
Lakini Kilicho nivutia zaidi ni hiyo blush ya huyo cjui ni Mlinzi wake...bado sijamwelewa .. na hako Moustache kake kalivonoga
 Alinifurahisha zaidi katika hili pozi..mimi Hoi! Alivomwangalia Kim na macho ya kuibia...

No comments:

Post a Comment