Friday, November 25, 2011

Twanga Pepeta Live in London

So Twanga Pepeta are in London, he he he...safe partying guys...

Bendi ya Twanga Pepeta imewasili leo mjini london tayari kwa makamuzi katika ukumbi wa Silver Spoon London kwa ajili ya Kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa wa Tanganyika. 

No comments:

Post a Comment